Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2019
Jinsi ya kupata pesa kupitia simu yako ya android [smartphone] Habari! leo singidatech Swahili inawaletea habari kwamba, unaweza kabisa kupata pesa kwa kutumia smartphone yako ukiyonayo,  sasa unaweza kufuata hapa chini maelekezo ni rahisi sana. Bila kupoteza muda fuata maelekezo hapa chini ili uweze kuelewa ni jinsi gani ya kufanya niweze kuziona pesa katika simu yangu; Vitu vinavyohitajika; simu ya andoid[version 4.4.2]+…. muunganiko wa data yaani MB au wi-fi connection 1.Hatua ya kwanza kabisa ingia playstore Baada ya kubonyeza app hiyo[playstore] nenda kwenye search andika "Premise" 2.Baada ya kuandika,   bofya kwenye ‘ install’ ,install app hiyo ya PREMISE -Katika hatua ya ku-install unaweza kuona vi box vinakwambia allow weka alama ya tick,ama vinaweza visitokee -Baada ya ku-install app hiyo utahitajika kuwasha loction ya kwenye simu yako unayoitumia[turn on the location] -Kisha jaza data muhimu zinazohitajika kama vile namba ya simu pamoja na em...