Jinsi ya kupata pesa kupitia simu yako ya android [smartphone]
Habari! leo singidatech Swahili inawaletea habari kwamba, unaweza kabisa kupata pesa kwa kutumia smartphone yako ukiyonayo, sasa unaweza kufuata hapa chini maelekezo ni rahisi sana.
Bila kupoteza muda fuata maelekezo hapa chini ili uweze kuelewa ni jinsi gani ya kufanya niweze kuziona pesa katika simu yangu;
Vitu vinavyohitajika;
muunganiko wa data yaani MB au wi-fi connection
1.Hatua ya kwanza kabisa ingia playstore
Baada ya kubonyeza app hiyo[playstore] nenda kwenye search andika "Premise"
2.Baada ya kuandika, bofya kwenye ‘ install’ ,install app hiyo ya PREMISE
-Katika hatua ya ku-install unaweza kuona vi box vinakwambia allow weka alama ya tick,ama vinaweza visitokee
-Baada ya ku-install app hiyo utahitajika kuwasha loction ya kwenye simu yako unayoitumia[turn on the location]
-Kisha jaza data muhimu zinazohitajika kama vile namba ya simu pamoja na email yako na password,log in with google account
3.Kwa mara ya kwanza kabisa baada ya kujisajili utaona maneno kama haya elezea hali ya hewa iliyopo katika eneo lako hatua za kufungua email,gmail bonyeza HAPA
-Fanya survey hiyo na utaambiwa piga picha hakikisha unakuwa makini piga picha eneo la juu kidogo yaani mawingu ni hali gani ya hewa iliyopo katika eneo lako kwa muda huo.
.mpaka hapo utakuwa umekamilisha hatua ya kwanza ya kuanza survey kama unahitaji app hiyo kwa njia rahisi ya ku-download,ku-install kwa kubonyeza install HAPA
-Baada ya kufanya hiyo survey ya mara ya kwanza,utaona maandishi pembeni/chini ya kwazi uliyoifanya yameandikwa "Under review" yaani yako chini ya ukaguzi
-Baada ya saa ishirini nan ne hivi utaona pesa tayari itabaki tu ku withdraw.
KUMBUKA;App hii inakugundua mahali popote ulipo na pia app hii itakusaidia kwa matumizi madogomadogo tu,kadiri unavyoendelea kufanya kazi hizo ndivyo kiwango ch a pesa huongezeka kiasi.
Na pia ni muhimu kukagua/kuangalia kila saa kama kuna kazi ya kufanya,kama imekuandikiarudi tena baadaye kidogo/kwa sasa hamna kazi,jaribu kubonyeza alama ya jumlisha ili kuona kama kuna kazi zaidi ya moja.
ONYO usijaribu kuwasha location kwenye simu nyingi zaidi yaani kikundi kwani kazi unayoifanya inaweza ku-cancell/disappear[automatic cancelled]
Ahsante sana kwa kupitia ukurasa huu kama kuna tatizo lilitokea/limetokea kuhusu hii usisite kuwasiliana nasi kwa kutumia messege HAPA au kwa njia ya kwa kupiga simu bofya hii CALL NOW au comment Hapo chini.
Imeandikwa na Yakobo Martin
Recently by Technique solving
Comments
Post a Comment